bofya

Sunday, June 15, 2014

DJ LOVE:Diamond Platinumz azidi kupiga hatua Aweka rekodi nyingine huko Twitter Unajua nini soma hapa

Diamond Platinumz ambaye yuko Durban Afrika Kusini akijiandaa na tuzo MTV, ameongeza sababu nyingine ya kutabasamu baada ya akaunti yake ya Twitter kuwa Verified. Mkali huyo mwenye Followers Zaidi ya 34, 000 ametambuliwa na Twitter kuwa mmiliki pekee/halali wa akaunti yake.
“Thank you Twitter.” Diamond ameandika.

No comments:

Post a Comment